Screenshot 20250516 093943 Instagram

Robertinho Kutimka Rayon Sc

Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba Sc Roberto Oliveira (Robertinho) ambaye hivi majuzi alisimamishwa kazi na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha Rwanda (FERWAFA) akitaka kulipwa Dola za Kimarekani 20,000 ambayo ni mshahara wa miezi minne. Kocha huyo aliugua na kulazimika kusimamishwa kazi ili akaweke afya yake…

Soma Zaidi
Screenshot 20241115 193310 Instagram

Gamondi Anukia Apr ya Rwanda

Kwa mujibu wa taarifa nyingi kutoka Kigali nchini Rwanda inaelezwa aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi upo uwezekano akajiunga na APR ya Rwanda ambapo mazungumzo yameanza ili kukamilisha dili hilo. Katika mazungumzo ambayo kwasasa yapo katika hatua za awali kuona kama kuna uwezekano wa Miguel Gamondi kujiunga hiyo inayomilikiwa na Jeshi la…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks