Mchezo wa ligi kuu nchini kati ya Singida Big Stars na Coastal Union ya mkoani Tanga umemalizika katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga bila mbabe baada ya kutoka sare ya …
Singida Big stars
-
-
Ni kama kusukuma mlevi tu ndivyo unavyoweza kusema baada ya klabu ya Simba sc kutumia nguvu kidogo tu kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars tofauti na …
-
Kocha wa klabu ya Simba sc Juma Mgunda ameondoka klabuni hapo kwa ruhusa maalumu na kuamua kurejea nyumbani kwao jijini Tanga kutokana na matatizo binafsi ya kifamilia siku moja baada …
-
Klabu ya Singida Big Stars tayari imewasili mapema jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Simba sc utakaofanyika siku ya Februari 3 katika …
-
Ni mshtuko mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania baada ya Mlandege Fc ya visiwani Zanzibar kufanikiwa kuwafunga Singida Big Stars 2-1 katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi …
-
Beki wa zamani wa klabu ya Simba sc Serge Paschal Wawa ameondoka katika klabu ya Singida Big Stars baada ya kumalizana na klabu hiyo aliyojiunga nayo akitokea klabu ya Simba …
-
Licha ya kufanya mazungumzo na Simba sc na kuelewena kila kitu kiungo Kelvin Nashon ametua katika klabu ya Singida Big Stars akitokea klabu ya Geita Gold Sc baada ya timu …
-
Klabu ya Yanga sc imeshindwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi Cup baada ya kutoka sare ya 1-1 na Singida Big Stars katika mchezo wa mwisho wa …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika jioni hii katika uwanja wa Liti Mkoani Singida baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na …
-
Kocha wa klabu ya Simba sc Juma Mgunda amesema jumla ya mastaa watatu wa kikosi cha kwanza watakosekana katika mchezo wa kesho dhidi ya Singida Big Stars utakaofanyika katika uwanja …