Simba Sc Yaingia 2025 Kileleni
Baada ya kupata ushindi wa 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Singida Black Stars sasa rasmi klabu ya Simba Sc itaingia mwaka 2025 ikiwa katika kilele cha msimamo wa ligi kuu nchini. Simba sc ilipata alama tatu katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Ccm Liti mjini Singida…
