Klabu ya soka ya Wydad Athletic Club imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji Selemani Mwalimu kutoka klabu ya Singida Black Stars baada ya kufikia makubaliano na timu hiyo kumsajili staa huyo …
Singida Black Stars
-
-
Klabu ya soka ya Singida Black Stars imevunja rasmi kambi yake ya mafunzo iliyofanyika kwa wiki tatu jijini Arusha iliyokua na lengo la kuingiza mbinu mpya za mafunzo kwa mastaa …
-
Klabu ya Singida Black Stars ina mpango wa kuipeleka klabu ya Gor Mahia kwenye shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya klabu hiyo kutorudisha fedha za usajili licha dili la …
-
Idara ya Uhamiaji ya Tanzania imethibitisha kuwa imewapa uraia wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars baada ya wachezaji hao kuomba uraia kwa mujibu wa vifungu vya 9 na …
-
Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Ghana Jonathan Sowah kwa mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Al Nasser ya nchini Libya. Usajili wa mshambuliaji …
-
Klabu ya Singida Black Stars ya mkoani Singida imetangaza kumsajili winga Serge Pokou raia wa Ivory Coast kutokea Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan. Nyota huyo moja kati ya wachezaji …
-
Klabu ya Singida Black stars imetuma ombi rasmi katika klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya kutaka kurejeshewa dau la usajili ambalo waliliweka kwenye akaunti zao kwa ajili ya manunuzi …
-
Klabu ya Singida Black Stars imewarejesha wachezaji Morice Chukwu na Fikirini Bakari waliokua kwa mkopo katika klabu za Tabora United na Fountain Gate Fc. Mastaa hao mwanzoni mwa msimu huu …
-
Kikosi cha Timu ya Simba sc tayari kimekamilisha maandalizi yote muhimu kuwavaa timu ya Singida Black Stars katika mchezo wa ligi kuu utakaofanyika kesho Disemba 28 katika uwanja wa Liti …
-
Mshambuliaji Jonathan Sowah yupo mbioni kujiunga na timu ya Singida Black Stars akichukua nafasi ya Joseph Guede ambaye amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo. Sowah ambaye anaichezea …