Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kupata ushindi wa 3-1 dhidi ya Tp Mazembe katika mchezo maarufu uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam na kurejesha matumaini ya …
Tp mazembe
-
-
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumuajiri Andre Mtine kwa ajili ya kumpa jukumu la kuwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo Mazingiza ambaye alifikia …
-
Mchezo wa kirafiki baina ya Azam Fc na Tp Mazembe umemalizika kwa sare ya 1-1 baada ya dakika 90 za mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Ndola nchini Zambia. Mchezo …
-
Mshambuliaji wa timu ya Tp Mazembe Thomas Ulimwengu ameshukiwa na kocha wa timu hiyo Mihayo Kazembe kutokana na kushuka kiwango katika michezo kadhaa ya timu hiyo tofauti na msimu uliopita …
-
Yanga Sc imemtambulisha kocha mpya,Zlatico Krmpotick kama kocha mkuu wa kikosi hicho akibeba mikoba ya Luc Eymael alifukuzwa kazi kwa kosa la ubaguzi. Zlatiko anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa …
-
Tajiri wa Madini na Rais wa klabu ya TP Mazembe Moise Katumbi ameripotiwa kuwa na mpango wa kununua hisa ndani ya klabu ya Anderlecht inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini …
-
Nyota watatu kutoka ardhi ya Tanzania ambao ni Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile ni miongoni mwa waliobeba ubingwa na TP Mazembe baada ya timu hiyo kutangazwa mabingwa wa …
-
Staa wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajibu Migomba amesema kuwa hakukurupuka kujiunga na klabu ya Simba sc na kukataa ofa nono ya klabu ya Tp Mazembe ya Lububumbashi nchini …
-
Uongozi wa Azam Fc umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika kwa asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe. Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka …
-
Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo imetangaza kumsajili Winga wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu kwa mkataba wa miaka miwili Kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na …