CAF Yawashukia Makocha Afrika: Masharti Mapya Ya CAF Yalitikisa Soka la Bara na Tanzania

CAF Yawashukia Makocha Afrika: Masharti Mapya Yalitikisa Soka la Bara, Tanzania Yaguswa Moja kwa Moja

CAF yawashukia makocha Afrika kwa kuanzisha masharti mapya ya leseni yanayoathiri mashindano yote ya CAF. Makala hii inaeleza kwa kina athari zake kwa Tanzania, makocha, na mustakabali wa soka la Afrika. Jedwali la Yaliyomo Utangulizi Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limechukua hatua kubwa inayotafsiriwa kama mageuzi ya kihistoria katika ufundishaji wa soka barani…

Soma Zaidi
Screenshot 20250603 220638 Instagram

Mrithi wa Yao Kuwasili Jangwani

Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumleta nchini beki wa klabu ya Tp  Mazembe Ibrahim Keita kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa timu hiyo inayompigia hesabu kumsajili kwa kikosi cha msimu ujao. Mabosi wa Yanga wameona ni vyema kumuita beki huyo Dar ili kufanya mazungumzo ya mwisho kabla ya kumpa mkataba katika kikosi…

Soma Zaidi
440748414 18319835386135476 3595815362064557223 n

Eng.Hersi Afuata Mashine Congo DRC

Rais wa klabu ya Yanga sc Eng.Hersi Said amesafiri kuelekea nchini Congo Drc kwa ajili ya kufanya usajili wa wachezaji wawili ambao wanacheza nafasi za beki na winga kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo msimu ujao wa 2024/2025. Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinadai kwamba Hersi amekwenda kufanya usajili huo kwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks