Mshambuliaji wa Simba ,Clatous Chama leo Agosti 3 amekabidhiwa zawadi ya Shilingi milioni moja na tuzo ya mchezaji bora ndani ya ligi kuu bara na wadhamini wakuu wa klabu ya …
tuzo
-
-
Nyota wa kikosi cha Simba,Clautos Chama amekabidhiwa leo tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Shirikisho. Simba imetwaa taji mbele ya Namungo FC kwa kuibuka na ushindi wa …
-
Uongozi wa klabu ya Simba umeahirisha ugawaji wa tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita kutokana na muda kutokuwa rafiki kwao. Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba Sc, Mohamed …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Meddie Kagere amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi machi mwaka huu kwa mujibu wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara. Kagere ametwaa …
-
Mshambuliaji wa timu ya Ndanda SC ya Mtwara, Vitalis Mayanga amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) msimu wa 2019/2020. Mayanga amewashinda Reliants …
-
Mshambuliaji wa timu ya Simba sc Miraji Athuman ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara kwa mwezi Septemba akiwashinda Meddie Kagere na Ismail Kada wa Prisons ya …
-
Shirikisho la soka duniani (fifa) limekana kumbeba staa wa Argentina Lionel Messi ili kutangazwa mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume iliyofanyika septemba 23 jijini Milan Italia. Messi alishinda …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Ettiene Ndayiragije na nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta wametofautiana katika kupiga kura ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume baada …
-
Mshambuliaji Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume akiwabwaga Cristiano Ronaldo na beki wa Liverpool Virgil Van Dijk katika tuzo zilizotolewa usiku huu jijini …
-
Kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Aishi Manula ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu na klabu yake ya sasa ya Simba Sports Club yenye makao …