Mwenyekiti wa klabu ya Simba sc Murtaza Mangungu amefanikiwa kutetea nafasi hiyo katika klabu ya Simba sc baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa …
Tag:
uchaguzi
-
-
Huku ikiwa leo Juni 9 ndio mwisho wa kuchukua fomu za kugombea urais katika klabu ya Yanga sc tayari vigogo mbalimbali wamejipanga kuchukua fomu hizo kuwania nafasi hiyo mpya klabuni …
-
Aliyekuwa mwenyekiti ndani ya Simba Sc ,Swedi Mkwabi ametia nia katika uchukuaji wa fomu ya kuwania ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar-es-salaam ,siku ya leo katika ofisi za chama …