Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amechangia kiasi kikubwa kwa ghana kupoteza mchezo wa kwanza katika fainali za kombe la dunia zinazoendelea nchini Qatar akiisaidia Ureno kuibuka …
ureno
-
-
Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa baada ya kiungo wa timu hiyo,Weston McKennie kuthibitika kukutwa na Virusi vya Corona. Weston ambaye ndiye mchezaji wa pekee wa Juventus alijiunga …
-
Benchi la ufundi la Juventus limethibitisha kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ambaye ni mchezaji pia wa mabingwa hao wa ulaya amekutwa na maambukizi ya virusi …
-
Tottenham Hotspurs wamejinasia huduma ya mshambuliaji wa Benfica ya ligi kuu Ureno, Carlos Vinicius kwa mkopo wa mwaka mmoja. Vinicius ambaye ni raia wa Brazil ameondoka Benfica akiwa amewafungia jumla …
-
Christian Ronaldo afikisha mabao 101 ya kitaifa na kuweka rekodi mpya ya mwanasoka wa kwanza bara la Ulaya,akiwa katika timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hii inafikishwa kwa mabao 2-o …
-
Mario Balotelli ameamua kumtema nyota wa Juventus na Ureno Christiano Ronaldo katka kikosi chake cha wakati wote. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29Â amewaorodhesha wachezaji wawili tu wa ligi …