Ndoto za klabu ya Simba sc kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kimataifa zimeanza kufufuka baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Vipers Fc katika mchezo …
Tag:
Vipers Fc
-
-
Klabu ya Simba sc imemsainisha mkataba wa miaka miwili kocha Roberto Oliveira aliyekua akiifundisha Vipers Fc ya nchini Uganda kujiunga na klabu hiyo kuelekea duru la pili la ligi kuu …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kukamilisha mazungumzo na kocha wa Vipers Fc ya nchini Uganda Mbrazil Roberto Oliviera aka Robertinho kuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na kocha Zoran Maki ambaye …
-
Klabu ya Vipers Fc ya nchini Uganda bado imemweka ugumu mshambuliaji wake Cezar Manzoki kujiunga na klabu hiyo baada ya kukataa kiasi cha pesa ili kumuachia straika kujiunga na klabu …