Klabu ya Azam Fc usiku wa leo itaingia uwanjani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco mchezo utakaofanyika katika mji wa Benslimane nchini humo ikiwa ni …
Wydad Casablanca
-
-
Winga wa klabu ya Simba sc Leandre Willy Onana ameing’arisha klabu hiyo katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kuipatia alama tatu muhimu katika mchezo dhidi ya Wydad …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kucheza hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kupoteza mchezo dhidi ya …
-
Haikutegemewa kama klabu ya Simba sc itaibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya klabu ya Wydad Ac katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika uliofanyika nchini siku ya Jumamosi …
-
Mchezo wa hatua ya robo fainali baina ya Simba sc dhidi ya Wydad Ac utakaofanyika siku ya Jumamosi katika uwanja wa Benjamini Mkapa utaamuliwa kwa usaidizi wa teknolijia ya video …
-
Kikosi cha klabu ya Wydad Casablanca kimewasili nchini jioni ya leo kwwa ajili ya mchezo wa siku ya Jumamosi wa hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya …
-
Winga wa Taifa Stars Simon Msuva ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca juu ya madai ya mishahara yake na fedha za usajili ambazo hakulipwa kipindi anaichezea klabu hiyo …
-
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Wydad Casablanca Simon Msuva amejiunga na klabu ya Alqadsiah inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Saudi Arabia ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele …
-
Winga wa Kitanzania Simon Msuva ametua kunako klabu ya Wydad Casablanca akitokea katika klabu ya Difaa El-Jadid kwa mkataba wa miaka minne. Msuva alijiunga na Difaa akitokea Yanga sc mwaka …