Kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera ana mpango wa kufungua akademi ya michezo maalumu kwa vijana wa miaka 9 na kuendelea ili kuwakuza na baadae kuwauza katika timu kubwa nchini …
Zahera
-
-
Klabu ya Yanga sc imeachana na kocha Mwinyi Zahera baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha uwanjani licha ya usajili kabambe ambao ulifanyika msimu huu kwa mapendekezo ya kocha huyo. Zahera …
-
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuwasikiliza mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali anawasiliana na uongozi ambao ulimpa mkataba. Hayo yamekuja kufuatia mashabiki …
-
Kocha wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema haogopi kufukuzwa katika klabu hiyo nan yupo tayari kuondoka endapo uongozi utasitisha mkataba wake unaoisha mwishoni mwa mwaka huu. Zahera amekua na …
-
Kufuatia kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Pyramids Fc kocha wa timu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ameingia matatani baada ya mashabiki wa klabu hiyo kumtaka ajiuzuru baada ya kutopata …
-
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameahidi kitita cha shilingi milioni 100 kwa wachezaji wa timu hiyo endapo watafanikiwa kuitoa Pyramids fc na kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe …
-
Mabingwa wa kihistoria klabu ya Yanga sc leo inashuka dimbani katika uwanja wa Ccm Kirumba kuvaana na mbao katika mchezo wa ligi kuu nchini ambapo kocha mwinyi Zahera tayari ametoa …
-
Timu ya Yanga sc imewasil jijini mwanza asubuhi ya leo kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya ligi kuu dhidi ya Mbao fc,Alliance na ule wa kimataifa dhidi ya Pyramids …
-
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema sababu kubwa ya kutomtumia mshambuliaji wake Juma Balinya katika mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika ni …
-
Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo David Molinga ni hatari kushinda Herritier Makambo aliyeichezea timu hiyo msimu uliopita. Zahera amesema hayo jana wakati …