zahera

Zahera Kuti Kavu Coastal Union

Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klab ya Coastal Union ni kwamba uongozi wa klabu hiyo umefikia makubaliano rasmi ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu raia wa Congo DRC, Mwinyi Zahera baada ya kutoridhishwa na kiwango cha Timu hiyo tangu akabidhiwe majukumu ya kukionoa. Zahera alijiunga na Coastal Union msimu huu lakini mpaka sasa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks