Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Fredy Michael Koublan amesajili na klabu ya Zesco United inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Zambia kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mshambuliaji huyo …
zambia
-
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clatous Chama na mshambuliaji Kennedy Musonda wa wameitwa kwenye Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia(chipolopolo) kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu …
-
Bao pekee la Waziri Junior dakika ya 5 ya mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani,Canada na Mexico limeipata timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) …
-
Kocha wa timu ya Taifa ya Zambia Avram Grant ameamua kumtema kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama katika kikosi cha wachezaji watakaojiunga na kambi ya timu hiyo kujiandaa …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast hasa baada …
-
Kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama ameitwa katika timu ya Taifa ya Zambia(Chipolopolo) inayojiandaa na mchezo wa wa kufuzu Afcon ambapo itamenyana na Botswana, Novemba 12 nchini Zambia. …
-
Beki wa kati wa timu ya Nkana kutoka Zambia,Musa Mohammed amekiri kufanya mazungumzo na viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo kutokana na mkataba wake unaokaribia kuisha …
-
Aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Noel Mwandila ameachana na klabu ya Buildcon Fc inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia ambayo alijiunga nayo muda mfupi baada ya Yanga kulifuta kazi benchi lote la …
-
Klabu ya Simba SC ya Tanzania imemtangaza mbelgiji Sven Ludwig Vanderbroeck kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho akichukua nafasi ya Patrick Aussems aliyefungashiwa virago. Kocha huyo amewahi kufundisha timu ya …
-
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike ni moja kati ya makocha waliomba kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Zambia (Chipolopolo) baada ya …