Taifa Stars
zambia
-
-
Kenya
-
Chan
-
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Fredy Michael Koublan amesajili na klabu ya Zesco United inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Zambia kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mshambuliaji huyo …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clatous Chama na mshambuliaji Kennedy Musonda wa wameitwa kwenye Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia(chipolopolo) kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu …
-
Bao pekee la Waziri Junior dakika ya 5 ya mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani,Canada na Mexico limeipata timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) …
-
Kocha wa timu ya Taifa ya Zambia Avram Grant ameamua kumtema kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama katika kikosi cha wachezaji watakaojiunga na kambi ya timu hiyo kujiandaa …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast hasa baada …
-
Kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama ameitwa katika timu ya Taifa ya Zambia(Chipolopolo) inayojiandaa na mchezo wa wa kufuzu Afcon ambapo itamenyana na Botswana, Novemba 12 nchini Zambia. …
-
Beki wa kati wa timu ya Nkana kutoka Zambia,Musa Mohammed amekiri kufanya mazungumzo na viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo kutokana na mkataba wake unaokaribia kuisha …