Home Makala Mzize Abadili Dini,Sasa Kuitwa Walid

Mzize Abadili Dini,Sasa Kuitwa Walid

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Clement Mzize amebadili dini leo March 23/2023 kuwa Muislamu mbele ya kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Omari ikiwa ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani,

Staa huyo kuanzia sasa atatambulika kwa jina la Walid Mzize na sio tena Clement Mzize kama ilivyokua imezoeleka kila siku hasa katika vyombo vy habari wakati wa kutangaza mechi za ligi kuu na michuano ya kimataifa.

Kwa mujibu wa sheria za Tanzania kila mtu ana uhuru wa kuabudu katika dini ama dhehebu analopenda bila kuingiliwa na mtu yeyote hivyo staa huyo amefanya kwa mapenzi yake na yuko huru ambapo pia atakua amefata mifano ya mastaa mbalimbali nchini na hata nje ya nchi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited