Screenshot 20250127 204328 Instagram

Al Ittihad Yawavuta Mzize na Aziz Ki

Klabu ya Yanga sc imefikia makubaliano na klabu ya Al-Ittihad Fc ya nchini Libya kuwasajili mastaa wake Clement Mzize na Stephan Aziz Ki kwa dau linalokadiriwa kufikia kiasi cha bilioni 4 za kitanzania. Kazi kubwa sasa iliyopo kwa klabu hiyo ni kufikia makubaliano binafsi na wachezaji hao baada ya klabu ya Yanga sc kukubali kuwauza…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 352843095 213162224996911 5573607014956613044 n 1080

Azam Fc Yatua Kwa Mzize

Klabu ya Azam Fc imeonyesha nia ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clement Mzize baada ya kutuma ofa ya shilingi milioni mia nne kwa klabu ya Yanga sc ili kumsajili mchezaji huyo aliyesaliwa na mkataba wa mwaka mmoja klabuni hapo. Azam Fc inaamini kuwa Mzize ni mbadala sahihi wa mshambuliaji Prince…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks