Home Makala Hakika Tutapumzika

Hakika Tutapumzika

by Sports Leo
0 comments

Kusimamishwa kwa mashindano ya soka nchini kwa muda wa mwezi  mmoja imekuwa fursa kwa wachezaji wa timu mbalimbali kupumzisha mwili na kujiweka fiti kabla ya kuendelea na soka siku zijazo.

Serikali ilisimamisha mashindano hayo na utekelezaji wake ukafanywa na shirikisho la mpira wa miguu (TFF) ikiwa ni miongoni mwa hatua za kujikinga na virusi vya Corona.

Baada ya wachezaji kucheza idadi kubwa ya mechi kwa muda wa miezi mitatu mfululizo bila kupata mapumziko,hii inakuwa fursa kwao kupumzika na familia zao huku wakijikinga na virusi vya Corona vilivyoingia nchini 15,machi 2020 kupitia mwanamama Isabella.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited