Home Soka La Liga Kurejea Juni 11

La Liga Kurejea Juni 11

by Sports Leo
0 comments

Ligi kuu nchini Hispania(La liga) inatarajiwa kurejea rasmi mwezi ujao kwa mujibu wa Rais wa ligi hiyo Javier Tebas huku msimu ujao ukitarajiwa kuanza Septemba 12.

Bosi huyo pia alibainisha kwamba mechi isiyokuwa na mashabiki kati ya Real Betis na Sevilla inaweza kufungua michuano hiyo huku mashabiki wakiwa na machaguo ya jinsi ya kungalia mechi hizo kupitia Televisheni na Mitandao.

Rais wa La Liga amesema kuwa, madhumuni yao ni kuanza kwa msimu mpya wa 2020/21 mwezi September 12. Pia wakiwa na matumaini ya kumaliza msimu wa sasa mwezi July 12 (ripoti za awali ziliripoti mwezi 19 July).

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited