Home Soka Ballon d’Or Yasitishwa

Ballon d’Or Yasitishwa

by Sports Leo
0 comments

Ile tuzo maalumu kwa mchezaji bora wa mwaka ambayo hutolewa na shirikisho la soka la Ufaransa haitakuwepo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona ambalo limesababisha baadhi ya ligi kutomalizika.

Tuzo hiyo hutolewa kwa wanasoka waliofanya vizuri kila mwaka toka mwaka 1956 lakini kutokana na kukosekana usawa katika soka msimu huu waanzilishi wa tuzo hizo wamesema hazitotolewa mpaka mwishoni mwa msimu ujao.

Lionel Messi alishinda tuzo hiyo kwa wanaume huku Megan Rapinoe akishinda kwa upande wa wanawake msimu uliopita na hii ni mara ya kwanza tuzo hizo kuahilishwa tangu mwaka 1956.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited