Home Makala Man United Yamalizana Na Sanchez

Man United Yamalizana Na Sanchez

by Dennis Msotwa
0 comments

Hatimaye Manchester United imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili raia huyo wa Chile kwa pauni milioni 13.5 ambapo mkataba wake utakuwa ni wa miaka mitatu akiitumikia timu hiyo hadi mwezi juni 2023.
Makubaliano ya kumsajili winga huyo  yatatangazwa rasmi baada ya mchezo wao dhidi ya Getafe wa michuano ya Europa League siku ya Jumatano.
Sanchez aliibukia ndani ya united msimu wa 2018 akitokea klabu ya Arsenal alipelekwa Inter Milan kwa mkopo msimu wa 2019.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited