Home Makala Kocha Wa Makipa Yanga Ageuka Mfugaji

Kocha Wa Makipa Yanga Ageuka Mfugaji

by Sports Leo
0 comments

Mara baada ya kocha wa makipa Yanga Sc ,Manyika Peter kufungashiwa virago ndani ya klabu hiyo ameamua kujikita zaidi katika suala la ufugaji wakati akitafuta timu ya kuifundisha.

Manyika ambaye pia ni baba mzazi wa kipa wa Polisi Tanzania ,Peter Manyika Junior ni mzawa wa kuwanoa makipa nchini ila alitemwa na Yanga Sc mara baada ya kumaliza msimu wa 2019/2020.

Manyika ameamua kushughulika na ukulima wa mbogamboga pamoja na ufugaji wa kuku wa kienyeji kwani ni suala endelevu na linahitaji utulivu wa hali ya juu,lakini suala la ajira za mpira ni za mpito.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited