Manyika Atua Singida FG
Aliyewahi kuwa mlinda mlango wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Peter Manyika ametangazwa kuwa kocha mpya wa magolikipa wa klabu ya Singida Big Stars (Singida Fountain gates) yenye makazi yake mkoani Singida Kipa huyo tayari ameanza kazi klabuni hapo na alikuwa sehemu ya benchi la ufundi la klabu hiyo kwenye mchezo dhidi ya…
