Mlinda mlango wa Manchester United ,Chris Smalling anayecheza namba 30 anaonekana kuonesha nia ya kujiunga na Roma kwa mkataba wa kudumu.
Manchester United inajaribu kumalizia suala la kuinasa saini ya winga wa Borussia Dortmund,Jadon Sancho kwa makubaliano ya mshahara na uhamisho wake kabla ya kumuacha Chris kung’oa nanga.
Bayern Munich imewaalika Manchester United kwenye majadiliano ya kiungo wao wa kati Thiago Alcantara ambaye ni mchezaji namba 29 anayetakiwa kuwekwa sokoni.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Baba wa Lionel Messi amekuwa na mazungumzo marefu na mabosi wa Barcelona kwa takribani siku mbili juu ya uwezekano wa kijana wake kuhama klabu hiyo,huku tetesi zinaeleza kuwa nyota huyo anahitaji kuibukia Manchester United.