Home Makala Smalling Asaini Roma Miaka mitatu

Smalling Asaini Roma Miaka mitatu

by Sports Leo
0 comments

As Roma wamemsajili beki wa Manchester United,Chris Smalling kwa kandarasi ya miaka mitatu huku wakiweka mezani kiasi cha bilioni 1.9.

Usajili huo ulikamilishwa na shirikisho la soka la Italia dakika moja kabla ya muhula wa uhamisho wa wachezaji kufungwa rasmi Octoba 5,2020.

Smalling aliwajibika Roma kwa mkopo msimu 2019/2020 mara 30 na alifanikiwa kukifungia kikosi hicho mabao matatu huku akiwa Mn United amewajibishwa mara 323 akiwasaidia kutwaa mataji mawili ya ligi kuu uingereza(EPL),kombe la FA mara moja,taji moja la League Cup na ufalme wa Europa League mara moja.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited