Home Makala Majeraha Yamkosesha Beki Ihefu Uwanjani

Majeraha Yamkosesha Beki Ihefu Uwanjani

by Dennis Msotwa
0 comments

Omary Kindamba ambaye ni beki wa Ihefa Fc atakuwa nje kwa muda wa  wiki tatu hadi nne kutokana na kupata majeraha ya mbavu baada ya kuanguka vibaya alipokuwa akiitetea timu yake dhidi ya Biashara United,Octoba 14 uwanja wa Karume.

Katika mchezo huo Ihefu ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na pointi tatu muhimu kwenda kwa Biashara United.

Ihefu katika msimamo wa ligi kuu ipo nafasi ya 17 baada ya kucheza mechi 6 ikiwa na pointi tatu huku ikiwa imejikusanyia jumla ya mabao mawili.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited