432113059 968770767942188 4563232785821344570 n

Yanga Sc Kileleni na 5G

Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kusimama kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kuifunga Ihefu Fc kwa mabao 5-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Chamazi Jijini Dar es salaam jioni ya leo Jumatatu ya Machi 10 2024. Yanga sc ilianza kupata bao la mapema dakika ya tisa ya mchezo kupitia kwa Pacome…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 429358110 274832925641686 1601278622398245719 n 1080 1024x684 1

Rasmi Ihefu Yahamia Singida

Klabu ya soka ya Ihefu Fc ambayo imezoeleka kuwa na makazi yake mitaa ya Ubaruku Mbarali jijini Mbeya sasa imehamia mkoani Singida ambapo itatumia uwanja wa Liti kama uwanja wake wa nyumbani katika michezo ya ligi kuu ya Nbc inayoendelea nchini. Baadhi ya wananchi wa mkoani Singida walishiriki kuipokea timu hiyo ambayo iliwasili rasmi jana…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks