Home Soka Ighalo Asepa United

Ighalo Asepa United

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa Nigeria Odian Ighalo amethibitisha kuachana na klabu ya Manchester United aliyoichezea kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja  kwa mkopo kutoka klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China.

Ighalo 31 ameichezea Man Utd mechi 23 akifunga mabao 5 anaelekea kujiunga na klabu ya Al-Shabab ya nchini Saud Arabia ambako imebaki taratibu za kiafya kukamilisha usajili huo.

Ighalo alitakiwa kurudi nchini China lakini klabu yake inayommiliki ya Shangai Shengua ilimruhusu kuzunguma na klabu ya Al shabab ili kukamilisha usajili huo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited