Klabu ya As Vita imenyang’anywa ubingwa wa ligi kuu nchini Congo baada ya kupokonywa pointi tisa kwenye ligi kuu sawa na michezo (3) ambayo walimchezesha mchezaji Zao Matutala ambaye alikua amefungiwa.
Mchezaji huyo Zao Matutala ambaye kwa sasa amefungiwa amefungiwa miezi (12) kujihusisha na soka alikuwa na kesi kipindi anachezeshwa na As Vita ambapo kesi ilikua katika mahakama ya michezo ya kimataifa(Cas) na sasa baada ya majibu kutoka amekutwa na hatia hivyo mechi zote tatu walizomchezesha wamenyang’anywa points.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.