Home Makala Azam Fc Hali Tete Kagera

Azam Fc Hali Tete Kagera

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Azam Fc imeporomoka katika msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kufungwa 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera.

Licha ya mashambulizi ya mara kwa mara Azam Fc iliruhusu bao la faulo ya David Luhende kujaa wavuni moja kwa moja na kuwapatia alama moja muhimu kuelekea ukingoni mwa ligi kuu nchini.

Kagera sugar sasa imelingana alama na Azam Fc ikiwa katika nafasi ya nne na alama 29 huku Azam Fc ikishushwa mpaka nafasi ya tatu ikisalia na alama 29 huku Namungo ikipanda mpaka nafasi ya tatu na alama 30 katika michezo 22.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited