Home Makala Baleke Yupo Sana Simba sc

Baleke Yupo Sana Simba sc

by Sports Leo
0 comments

Kama ulikua unafikiri kuwa staa Jean Baleke anaweza kuondoka hivi karibuni katika klabu ya Simba sc utakua umekosea kwa maana ya kwamba staa huyo bado yupo sana klabuni hapo kutokana na kuwa na mkataba wa miaka miwili.

Staa huyo ni kweli yupo klabuni hapo kwa mkopo wa misimu miwili akitokea Tp Mazembe na mpaka sasa ameshatumikia miezi mitatu tu ya mkataba wake licha ya kufunga jumla ya mabao 14 tangu atue klabuni hapo.

Kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo amesema kuwa mchezaji huyo anatumikia sehemu ya mkataba wake wa tp mazembe ambapo alisaini mkataba wa miaka mitano na ameshatumikia miwili na akimaliza miwili ya Simba sc basi atabakiwa na mwaka mmoja wa kuitumikia Tp mazembe.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited