Home Makala Balotelli Amtema Ronaldo

Balotelli Amtema Ronaldo

by Sports Leo
0 comments

Mario Balotelli ameamua kumtema nyota wa Juventus na Ureno Christiano Ronaldo katka kikosi chake cha wakati wote.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29  amewaorodhesha wachezaji wawili tu wa ligi kuu na amemchagua gwiji wa Brazil Ronaldo kuongoza safu ya ushambuliaji pamoja na Lionel Messi.

Thierry Henry alimtaka Balotelli kutaja kikosi cha wachezaji 11 cha mwisho katika ‘Puma Football Instagram’ ,mshambuliaji huyo alimchagua mchezaji mwenzake wa zamani ,Yaya Toure na nyota wa Liverpool  Steven Gerrad kucheza nafasi  ya katikati katika timu ya Brencia.

banner

Balotelli alishinda taji la ligi kuu akiwa na Manchester City mwaka 2012 kabla hajaondoka katika klabu hiyo mwaka 2o13 na kujiunga na Milan .

Nyota huyo alirejea England akiwa Liverpool mwaka 2014 lakini alishindwa kufikia malengo akiwa katika klabu hiyo yenye maskani yake Anfield.

 

 

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited