Mechi ya ligi kuu bara raundi ya sita kati ya Kmc na Coastal Union iliyochezwa leo Octoba 14,uwanja wa Uhuru imewagawanisha pointi mojamoja timu zote mbili baada ya kutoka suluhu.
Kmc wamefikisha jumla ya pointi kumi ambapo wamepanda hadi nafasi ya nne katika michezo 6,wakishinda michezo mitatu nakutoa sare mbili huku wakifungwa mchezo mmoja.
Coastal union wao baada ya mchezo wa leo wamefikisha jumla ya pointi tano na kupanda nafasi ya nne wakiwa wameshinda mchezo mmoja na kutoa sare mbili huku wakifungwa michezo mitatu.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.