Coastal Union Yaachana na Muya: Sababu, Takwimu na Hatma ya Timu Yazidi Kuzua Maswali

Coastal Union Yaachana na Muya: Sababu, Takwimu na Hatma ya Timu Yazidi Kuzua Maswali

Habari kamili kuhusu Coastal Union yaachana na Muya klabu yatangaza kusitisha mkataba wa kocha Mohammed Muya, sababu zatiliwa shaka na mustakabali wa timu wazua mjadala. Yaliyomo (Table of Contents) Utangulizi Habari kubwa inayotikisa soka la Tanzania hivi sasa ni uamuzi wa Coastal Union yaachana na Muya, ambapo klabu hiyo yenye makazi yake Tanga imetangaza rasmi…

Soma Zaidi
Screenshot 20250602 220149 Instagram

Coastal Wamvutia Waya Kocha wa Tabora United

Klabu ya Coastal Union yenye makao yake jijini Tanga inapiga hesabu kali za kumchukua aliyekuwa kocha wa Tabora United Anicet Kiazayidi kushika nafasi ya Joseph Lazaro msimu ujao. Wagosi wa kaya wanaona kama kocha huyo raia wa Congo Drc ni mrithi sahihi wa Juma Mwambusi aliyeondolewa kutokana na matokeo mabaya ambayo klabu hiyo ilikuwa ikiyapata….

Soma Zaidi

Winga Mcongo Atua Coastal Union

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa klabu ya KenGold Fc Kiala Lassa  ambaye amesajiliwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake hiyo ya awali. Kiala Lassa raia wa Congo anauwezo wa kucheza namba nyingi uwanjani kama vile 7, 11 na 10 na amekuwa na msimu…

Soma Zaidi
Screenshot 20250410 232231 Instagram

Coastal Union Yafufukia Mkwakwani

Klabu ya Coastal Union hatimaye baada ya michezo mingi ya ligi kuu ya Nbc nchini leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Singida Black Stars.   Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga ambao ulikua umefungwa kwa muda mrefu ukifanyiwa ukarabati umeshuhudiwa…

Soma Zaidi
mwambusi

Mwambusi Ajiondoa Coastal Union

Kocha Juma Mwambusi ameachana na klabu ya Coastal Union kwa makubaliano ya pande mbili baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha katika ligi kuu ya Nbc nchini. Mwambusi alijiunga na Coastal Union wakati wa dirisha dogo la usajili ambapo alitarajiwa kuleta mabadiliko katika timu hicho baada ya kuchukua nafasi ya David Ouma…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks