Real Madrid haina mpango wa kumpa ofa ya mkataba mpya beki wao wa kati ,Sergio Ramos mwenye umri wa miaka 34 ambaye mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa kuwa anaweza kuibukia kukipiga nchini China.
Ramos alijiunga Real Madrid nwaka 2015 akitokea klabu ya Sevilla amebakiza mabao tisa pekee ili kufikisha mabao 100 kwani kwa sasa amefunga jumla ya mabao 91 ndani ya Madrid.
Licha ya kuwa Kwenye ubora wake msimu huu akiwa na Klabu hiyo kwa kucheza mechi 34 na kutupia mabao saba bado halijawashtua mabosi wa Real Madrid na hivyo kutokuwa hata na mpango wa kumuongezea mkataba.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.