Uongozi wa Yanga Sc leo Oktoba 16, umemtambulisha rasmi Cedric Kaze,kama kocha mkuu wa klabu hiyo ambaye alitua hapo jana usiku akitokea nchini Canada.
Kaze amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ambapo atabakia jangwani hadi 2020/2022.
Kocha huyo ambaye ni raia wa Burundi amekuja kuchukua mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye alifutwa kazi Octoba 3,kutokana na kutokuwa na mwendo mzuri wa kukiongoza kikosi cha yanga.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.