Home Makala Kocha Yanga Atoa Tamko Kuhusu Usajili

Kocha Yanga Atoa Tamko Kuhusu Usajili

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa Yanga Sc,Luc Eymael ameweka wazi  katika kikosi chake cha msimu ujao hatosajili wachezaji wengi badala yake atafanya maboresho kidogo ya kuchukua wachezaji wachache ambao watakuja kuongeza nguvu kwa waliopo sasa.

 

Eymael amesema kuwa hatafanya kama ilivyokuwa msimu uliopita wa kocha wa zamani Mwinyi Zahera wa DRC ambapo alisajili zaidi ya wachezaji 11 kwenye dirisha kubwa la usajili.

 

 

banner
“Nataka kujenga kikosi imara kwa hiyo sitaweza kusajili namba kubwa ya wachezaji badala yake nitawaboreshea kwenye maeneo kadhaa kisha tutakuwa tayari kupambana,” alisema Eymael

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited