Timu ya manispaa ya kinondoni (Kmc) imeingia udhamini mnono wenye thamani ya Bilioni moja na kampuni ya kubashiri ya M-bet baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano.
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano hayo meya wa manispaa hiyo Benjamini Sitta alisema mkataba huo utakua unaboreshwa kila mara ikiwemo kuongeza bonasi na kusaidia ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo.
Naye afisa masoko wa M-bet amesema wamesukumwa kuidhamini timu hiyo baada ya kuwa na uongozi imara “tumeamua kuidhamini timu hii baada ya kuona timu inaongozwa kiuweledi huku kukiwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.