Yanga Sc Yalamba Dili Gsm
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kupata udhamini mnono wa miaka mitano kutoka kampuni ya Gsm Beverages ya jijini Dar es salaam inayojihusisha na kuuza vinywaji ikiwemo vya kuongeza nguvu sambamba na maji ya kunywa ambapo mkataba huo umesaini mapema leo jijini Dar es salaam. Mkataba huo wa miaka mitano una thamani ya kiasi cha shilingi…
