Home Makala Lyon Waamua Kukata Rufaa

Lyon Waamua Kukata Rufaa

by Sports Leo
0 comments

Lyon wamepanga kukata rufaa ya kupinga maamuzi ya kuhitimishwa kwa Ligue 1 mapema kitu ambacho kimeifanya klabu hiyo kushindwa kufuzu mashindano ya Ulaya (European Football) kwa mara ya kwwnza tangu mwaka 1997 .

Timu zilizofuzu mashindano ya ligi ya mabingwa (champion league) ni PSG, Marseille, na Rennes huku zilizofuzu kucheza ligi ya mabingwa ulaya (Eaurope League) ni lille,Reims na Nice.

Katika msimamo wa ligi kuu  ya ufaransa Lyon ipo nafasi ya 7 ikiwa na pointi 40 kibindoni katika mechi 28 alizocheza kabla ya kusimamishwa na serikali ili kupambana na maambukizi ya corona.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited