Home Makala Mukoko Anukia Azam Fc

Mukoko Anukia Azam Fc

by Sports Leo
0 comments

Inasemekana matajiri wa Azam Fc wanaangalia uwezekano wa kumsajili aliyekua kiungo wa klabu ya Yanga sc Mukoko Tonombe ambaye anaichezea Tp Mazembe kwa sasa baada ya kuachana na klabu ya Yanga sc.

Mukoko aliyekua kipenzi cha mashabiki wa klabu ya Yanga sc aliondoka klabuni hapo baada ya kutokua chaguo la kocha Nasreddine Nabi katika kikosi cha kwanza eneo la kiungo akipenda kuwatumia zaidi Yannick Bangala na Khalid Aucho katika kiungo cha chini ambacho Mukoko alikua anatumika zaidi hivyo kumlazimu kuondoka klabuni hapo japo mashabiki na baadhi ya viongozi hawakupenda.

Kuondoka kwa Mukoko Yanga sc kulitoa nafasi kwa Chico Ushindi kusajiliwa kama winga ili kuongeza nguvu japo mpaka sasa hajafanya kazi inayotakiwa kiasi cha baadhi ya wadau kumkumbuka Mukoko Tonombe ambaye pia alihusishwa na kutakiwa na klabu ya Simba sc.

banner

Nafasi ya kiungo huyo  katika enep la kiungo la Azam Fc inaonekana wazi huku Mudathir Yahaya na Kenneth Muguna wakiwa na viwango vu

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited