Uongozi wa Kagera Sugar umeamua kuachana na nyota wao nane ambao wamemaliza mikataba yao kwa msimu wa 2019/20 kulingana na ripoti ya kocha wao mkuu,Meck Maxime.
“Wachezaji ambao tumeachana nao ni Juma Nyosso, Ally Shomary, Juma Shemvuni,Majidi Bakari,Frank Ikobela,Evarist Mujwahuki,Kelvin Sabato na Geofrey Mwashiuya,”alisema katibu wa klabu hiyo,Ally Masoud.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.