Home Makala Simba sc Yazua Balaa

Simba sc Yazua Balaa

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Al-Ahly imewazuia wachezaji wake, Percy Tau na Aliou Dieng kujiunga na timu zao za taifa ili kujiandaa na mchezo wa African football league utakaochezwa 20 October 2023 dhidi ya Simba SC katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salam

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Afrika kusini ‘Bafana Bafana’, Hugo Broos amethibitisha kuwa Percy Tau hatajiunga na kikosi chake hivyo nafasi yake itachukuliwa na winga, Mduduzi Mdanstane kutoka Kaizer chiefs na hiyo ni kutokana na klabu hiyo kuzuia mastaa wake akiwemo Dieng ili wafanya maandalizi kikamilifu kwa ajili ya mchezo huo.

Timu hizo zitakutana hapa nchini Oktoba 23 ikiwa ni ufunguzi wa michuano hiyo mipya kwa ngazi za vilabu barani Afrika ambapo mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kutokana na historia ya timu hizo zinapokutana kunakua na upinzani mkubwa zaidi.

banner

 

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited