Home Makala Watatu Bongo Watwaa Ubingwa Congo

Watatu Bongo Watwaa Ubingwa Congo

by Sports Leo
0 comments

Nyota watatu kutoka ardhi ya Tanzania ambao ni Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile ni miongoni mwa waliobeba ubingwa na TP Mazembe baada ya timu hiyo kutangazwa mabingwa wa ligi kuu ya DR Congo maarufu kama Lina foot.

TP Mazembe imetangazwa kuwa bingwa kutokana na Shirikisho la Soka la DRC kuamua kumaliza Ligi zikiwa zimebaki mechi 7 kwa kila timu kutokana na hofu ya Corona.

Ambokile amesema kuwa kutokana na janga la Corona hakukuwa na shughuli ya kimechezo ambayo ilikuwa inaendelea hata mazoezi walikuwa wanafanya ndani kutokana na srikali kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited