Site icon Sports Leo

Atletico Wakubali Kukatwa Mshahara

Atletico Madrid's Marcos Llorente (obscured) celebrates scoring his side's first goal of the game with team-mates during the UEFA Champions League round of 16 second leg match at Anfield, Liverpool.

Wachezaji wa klabu ya Atletico Madrid wamekubali kukatwa asilimia 70 ya mishahara yao huku kocha wao Diego Simeone mshahara wake utapunguzwa kwa kiasi cha Pauni Milioni 22.6 kutoka 32.6 .

Dhumuni ni kusaidia wale wafanyakazi wengine wa klabu ili kuweza kukabiliana na janga la uchumi . Kuna takribani ya wafanyakazi 430 ndani ya Atletico Madrid ambao wanafanya kazi nyuma ya pazia ambao hawaonekani uwanjani au kwenye benchi.

Exit mobile version