HERSI Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba wanaendelea kutoa bonasi kwa mtindo wa kipekee …
mshahara
-
-
Wachezaji wa klabu ya Chelsea kwa pamoja wamekubali kukatawa asilimia 10 ya mshahara kuanzia mwezi mpaka mwezi Septemba kama njia ya kusaidia klabu kupambana na mdororo wa mapato kutokana na …
-
Wachezaji wa Arsenal, wamekubali kukatwa asilimia 12.5 ya mishahara yao, baada ya kuahidiwa ‘bonasi’ kubwa katika ligi ya mabingwa Ulaya na kombe la ligi ya Europa. Wachezaji watafidia fedha watakazokatwa …
-
Wachezaji wa klabu ya Atletico Madrid wamekubali kukatwa asilimia 70 ya mishahara yao huku kocha wao Diego Simeone mshahara wake utapunguzwa kwa kiasi cha Pauni Milioni 22.6 kutoka 32.6 . …
-
Imeripotiwa kwamba kiasi cha mshahara anaolipwa straika Heritier Makambo na klabu ya Horoya ndio kikwazo kikuu cha kumrudisha katika klabu ya Yanga sc. Makambo aliuzwa na Yanga kwenda Horoya ya …
-
Klabu ya Juventus, huenda ikalazimika kumuuza nyota wake Cristiano Ronaldo, kutokana na kutikisika kiuchumi wakati huu wa janga la virusi vya Corona na klabu hiyo ipo katika hatari ya kushindwa …
-
Unaweza kusema ni kufuru,Baada ya mshambuliaji wa Simba sc mwenye asili ya Kinywaranda Meddie Kagere kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni msimbazi baada ya ule wa awali …