Home Soka Aweu Awesu Kutua Jangwani

Aweu Awesu Kutua Jangwani

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga Luc Eymael amevutiwa na kiwango cha kiungo wa Klabu ya Kagera Sugar Awesu Ally Awesu Baada ya kucheza vizuri kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la shirikisho Kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar June 30.

Katika mchezo huo ambao Kagera walifungwa kwa magoli mawili kwa moja (2-1) huku bao la pili la Yanga likileta sintofahamu kiungi huyo aliisumbua safu ya ulinzi ya Yanga huku akifanikiwa kufunga bao la kuongoza kwa timu yake.

Aymael ameuangiza uongozi wa Yanga kufanya uwezekano wa kumsajili Awesu mwisho wa msimu huu. Nyota huyo ambaye bado akebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Kagera Sugar aliyojiunga nayo mwanzoni wa msimu huu akitokea Singida United na kusaini mkataba wa miaka miwili.
.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited