Licha ya kutokuelewana na mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Erick Abidal.Wawili hao walijibizana maneno baada ya Abidal kuwatuhumu wachezaji wa timu hiyo kutojituma na kusababisha matokeo mabovu.
Licha ya mgongano huo imeripotiwa kwamba Lionel hana mpango wa kuondoka klabuni hapo,kauli ambayo imezika ngebe ya timu zilizokua zinamvizia staa huyo zikiwemo manchester united,manchester city,Juventus na Intermilan.
Messi bado ana mkataba na klabu hiyo mpaka mwaka 2021 na ameamua atatumikia mkataba wake uliosalia klabuni hapo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.