FC Barcelona hawana bajeti ya usajili kwa msimu wa kiangazi na wanaweza kutegemea tu pesa zitakazopatikana kupitia mauzo ya wachezaji watakaouzwa dirisha kubwa la usajili kutokana na athari za janga la virusi vya Corona.
Rais wa klabu hiyo Maria Bartomeu inasemekana amepanga kiasi cha Euro Milioni 60 kwa ajili ya usajili katika majira ya joto lakini hela hiyo itapatikana baada ya baadhi ya wachezaji kuuzwa.
Ikumbukwe Barca inataka kumsajili mshambuliaji wa Intermilan Lautaro Martinez ambaye gharama yake inakadiriwa kuzidi paundi milioni 50 huku pia msimu uliopita ilitumia paundi milioni 250 kuwasajili
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.