436235249 989169439235654 2796410158986312503 n

Mashabiki Yanga sc Kukopeshwa Simu

Klabu ya Yanga sc  leo imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment ambapo mashabiki wa klabu hiyo na Watanzania wote wanaweza kukopeshwa simu na kulipa kwa awamu tofauti kupitia utaratibu maalumu katika matawi ya klabu hiyo. Mkataba huo umesainiwa mapema leo na Rais wa Yanga Sc Eng.Hersi Said pamoja na wawakilishi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks